CCM na Mgombea Urais 2015, Ujambazi mnadani.. Hukumu ya Kisutu

Nimefanya jitihada nyingine kuhakikisha uko karibu na stori kubwa za Magazetini leo July 07 2015, uchambuzi umefanya #OnAir redioni na hizi ndio baadhi ya stori kubwa.
Rais JK ataongoza Kamati ya Maadili na Usalama ya CCM kesho kupitia taarifa za wagombea 38 wanaowania Urais wa TZ 2015, Wanasheria wa Basil Mramba wamesema watakata Rufaa baada ya kutoridhishwa na hukumu ya Mahakama ya Kisutu.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imeongeza Majimbo mapya manne ya Uchaguzi.. UKAWA wameaga rasmi Bungeni baada ya kutoridhishwa na Miswada iliyopitishwa na Bunge, stori nyingine leo inatoka Morogoro ambako majambazi wamevamia mnada wa ng’ombe na kuwaporaWafanyabiashara Mil.70… Sumbawanga mwanaume mmoja amejinyonga baada ya kumkaba koo mke wake aliyekuwa na ujauzito kwa sababu za wivu wa mapenzi.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.