Video ya Prezzo akijifunza kulenga na bastola Yake.


prezzo
Kwa waliodhani Prezzo anatembea na bastoli kama showoff au kujitamba, star huyu ameonyesha video akijifunza kulenda na bastola yake. Prezzo amekuwa hana aibu kuonyesha kuwa anamiliki silaha na kwamba yuko tayari kuitumia.
Video hii inamuonyesha Prezzo akijifunza kulenga vizuri na kuhakikisha amelenga kitu alichotaka kulenga.

                       

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.