Yamoto Band - Cheza Kwa Madoido ( Official New Video )


Watoto kutoka kwenye familia ya Mkubwa na Wanawe TMK walijisogeza mpaka South Africa na kufanya video yao ya kwanza na kampuni ya kimataifa ya God Father ambayo imekua ikifanya kazi kubwakubwa na mastaa kama P Square, Davido na Diamond Platnumz.

                  

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.