Hii mpya kutoka kwa Rita Ora imenifikia mtu wangu: “Body on Me” feat.Chris Brown (Video)
Rita Ora msanii aliyopo chini ya lebo ya Roc Nation anaziandika headlines jioni ya leo. Baada ya kuachia audio ya Body on Me siku chache zilizopita msanii huyo wa R&B Pop ametusogezea video yake kabisa.
Ngoma inaitwa Body on Me na imeachiwa dakika chache zilizopita karibu uitazame hapa chini kwa mara ya kwanza mtu wangu.
Hakuna maoni