Aliyemuoa Mwanamuziki Meninah ni Mtoto wa Profesa Muhongo


MENINAH noma.jpg 50

Hii ni piha ya familia mpya ya msanii wa bongo fleva Meninah, Aliyekuwa Waziri wa nishati na madini Profesa Sospeter Muhongo sasa ni official Baba mke wa Meninah Atick.
Meninah amefunga ndoa na mwanae Abdukarim Haule.
Gazeti la Mtanzania limeripoti kuwa mapenzi ya Meninah yamepelekea kijana huyu kubadili dini na jina na kuwa AbdulKarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni Muislamu.
Hii ni post ya Meninah kweney instagram .
MENINAH noma
MENINAH noma.jpg 34

Aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo sasa ni baba mkwe wa muimbaji wa ‘Shaghala Bhaghala’, Meninah Atick aliyefunga ndoa na mwanae, Abdukarim Haule.

Kwa mujibu wa gazeti la Mtanzania mahaba ya mtoto huyo wa Waziri Muhongo, Peter Haule yamemfanya abadili dini na kuwa Abdulkarim Haule ili aweze kumuoa Meninah ambaye ni muislamu. Wawili hao walifunga ndoa huko Kigamboni wikiendi iliyopita.

Japo hajasema chochote kuhusu ndoa yake zaidi ya picha zinazoashiria ndoa yao, Meninah ameandika kwenye Instagram:

Usichague msichana ambaye ni mzuri duniani, chagua anayekupa furaha duniani, maisha ni mafupi na huwezi jua kesho kuna nini, fanya mazuri, asante Mungu kwa kila njia ninayopitia, nazidi kukumbuka kwa kubadilisha maisha yangu na kutumaini milele
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.