Msanii Guvnor ’28’ wa Uganda ametangaza kumuoa mchumba wake kutoka Sweden mwenye miaka 68.
Bibi huyu ni raia wa Sweden amekuwa akiripotiwa kuwa na miaka 68 na sio 70. Guvnor amekuwa akipambana na maneno ya watu kuhusu umri wa mwanamke huyo na jee wataweza kuwa na watoto.
Hakuna maoni