Jamani kesho kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kuna watanzania
wenzetu watahama kutoka CCM kwenda UKAWA/CHADEMA. Kwenye list hiyo,
nawaona Kingunge Ngombale Mwiru na Peter Serukamba ni watu ambao kimwili
wako CCM lakini kifikra wako UKAWA. Sio vibaya 'kuspeculate' kwani
siasa zetu za ovyo ovyo ndio zimetufikisha hapa. Kwa wale wenye taarifa
za 'chumbani' si vibaya mkaanza kuwatayarishia waandishi wa habari
vichwa vya habari vya kesho kwa kutujuza.
Hakuna maoni