Ukaribu wa Ali Kiba na Jokate kwenye Headlines tena…#UhearD (Audio)


kiba

Tetesi za uhusiano kati ya Jokate na Ali kiba zimeendelea kubeba headlines nyingi kwenye mitandao ya kijamii lakini wenyewe wamekana kuwa wapenzi.
Wiki hii kwenye uzinduzi wa Coke Studio, Ali Kiba na Jokate walikua pamoja Nairobi,..Uheard ikaona impe nafasi Jokate kuzungumzia tetesi hizo na mwenyewe amesema yeye na Ali Kiba wamekuwa wanasapotia sana katika kazi za muziki.
Amekana kuwa na uhusiano naye zaidi ya ukaribu wa kawaida..pia amemsifu Ali Kiba kuwa si mtu wa maneno mengi ndio maana amekuwa karibu naye, pia ana moyo mzuri.
Msikilize hapa akizungumza na B Dozen….

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.