Hichi ndicho kinacho mleta Jackie Chan nchini Nigeria
Chan anatarajiwa kuwa Nigeria September 4 na ni mualiko a kampuni ya filamu ya FilmOne waliopata haki za kuoa fi,amu hio Afrika. Filamu hii ilionekana mara ya kwanza mwaka 2014 kwenye tamasha la filamu la Abuja International Film Festival na ilishinda tuzo tofauti kama best foreign film.
Hakuna maoni