Video ya mwigizaji Jackline Wolper alivyosimama mbele ya Edward Lowassa.

Ilikua ni siku ambayo UKAWA waliamua kuitumia kuzungumza na Wanawake Dar es salaam ikiwa ni siku kadhaa kabla ya kuzindua rasmi kampenzi zao kwenye uchaguzi mkuu wa 2015, miongoni mwa Waigizaji walioonyesha wazi kumuunga mkono Lowassa kwenye kampeni za Urais 2015 ni waigizaji Jackline Wolper, Aunty Ezekiel na Shamsa Ford.

                       

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.