Kwa Hili Alilolifanya Diamond, Litamgharimu Sana Katika Safari Yake ya Kimuziki
![]() |
Diamond Platnumz |
Diamond
platnumz kaonesha wazi msimamo wake katika mgonbea anayemtaka yeye.
Sipingani na maamuzi yake, ila naona kama alikurupuka kufanya maamuzi
hayo. Diamond angetambua kuwa washabiki wake wengi wanaompa support
hawapo katika mrengo anaoushabikia yeye.
Nimepitia baadhi ya comments za followers wake na kugundua kuwa 90% wamekuwa disappointed sana na alichokionesha.
Halafu
ukiangalia ni kama wametumwa hivi baada ya ile hafla yao na mheshimiwa.
Maana baada ya pale wasanii kibao wamekurupuka kuonesha support kwa
Magufuli.
Kinachoendelea
saiv ni kwamba washabiki wameanzisha kampeni ya kutomsapport tena
Diamond kwa kuacha kumpigia kura katika tunzo anazoshindania.
Namuonea huruma sana..
Hakuna maoni