Hapa Ronaldo pale Neymar kwenye style tofauti za nywele zao zilizowahi kuvutia wengi… Pichaz)
Ukizungumzia Ligi ya Hispania wapo nyota
wakubwa ambao wanapendwa zaidi na mashabiki wa soka duniani, sio tu kwa
ukali wao kwenye soka wao uwanjani bali pia wamekuwa midomoni mwa
mashabiki wao mara kwa mara kutokana na mvuto wao.
Ukimzungumzia Cristiano Ronaldo
ni kati ya wachezaji wanaopamba zaidi Ligi ya Hispania kutokana na
kiwango chake pia huwavutia wengi kwa uvaaji na hata staili ya nywele
zake.
Mbali ya Ronaldo yuko pia mkali Raia wa Brazil, Neymar Da Silva Santos ambae
nae amekuwa gumzo kwa mashabiki wake si tu kwa uwezo wake uwanjani bali
katika suala zima la mavazi na staili ya nywele zake ambazo haoni kama
kuna tatizo lolote yeye kutumia sehemu ya pesa zake nyingi kuzihudumia.
1: Hapa naanza na Cristiano Ronaldo na style mbalimbali za nywele ambazo aliwahi kuwa nazo zikawa kivutio kwa wengi.
2. Hapa namalizia na pichaz za Neymaar kwenye style mbalimbali za nywele ambazo aliwahi kuwa nazo zikavutia pia.
Kati ya hawa nani kakuvutia zaidi mtu wangu?
Hakuna maoni