Dr Dre akiri kufanya unyanyasaji, ni makosa yanyuma nayotaka kufuta.
Dr Dre amesema ” Nilifanya maamuzi mabaya wakati wa ujana wangu ambayo mpaka leo natamani kuyafuta, nilikuwa mjinga sana, siwezi kusema alichosema Michel’le ni uongo ila natamani ningefuta kabisa mambo niliyofanya nyuma, sitarudia tena kufanya makosa kama yale ” .
Hakuna maoni