Dr. Wilbroad Slaa mbele ya Waandishi wa habari Tanzania Sept 1.
Maneno ya mtangazaji msoma habari wa StarTV yanasema >>> ‘Dr Slaa amekua pembeni katika harakati za kisiasa lakini September 1 2015 atavunja ukimya huo kwa kuzungumza na vyombo vya habari Dar es salaam kuanzia saa saba mchana, mkutano huo utarushwa moja kwa moja mkutano huu‘
TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI.
Hakuna maoni