Picha za muonekano wa mabasi mapya ya Mwendokasi Dar es Salaam
.
.
Jana nilikusogezea stori kuhusiana na huu mradi wa mabasi yaendayo
haraka (Mwendokasi) sasa hapa ni time ya kuona hizi picha za muonekano
wa mabasi hayo kwa ndan na nje..
Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu, Tawala za mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akiwa katika kiti cha dereva.
.
Viti vya Abiria.
.
.
Mkuu
wa mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki (Kulia) na (nyuma)
Kamanda Kova ni miongoni mwa walioshiriki uzinduzi wa mabasi hayo.
Camera za ndani ya basi hilo jipya.
.
.
.
.
.
.
Hakuna maoni