Puff Daddy azungumzia beef na Drake na wasanii kuandikiwa nyimbo.
Kuhusu beef na ugomvi na Drake, Pdd amesema ” Drake ni rafiki yake na hataki ugomvi naye, ni kweli wimbo wa 0 to 100 ulitakiwa kuwa wake ila hawakuelewani vizuri sababu wote walikuwa wakifanya kazi kwa producer mmoja, Drake ndio rapa naye mkubali zaidi kwa sasa, Meek Mill ni rafiki yangu pia, tofauti yao ni mashairi ila wanamuziki mzuri “.
Na kuhusu wasanii kuandikiwa muziki, Pdd amesema ” Kuna muda unajikuta upo na mtu mwenye uwezo wa kubuni zaidi yako na anakitu kizuri zaidi, ni bora ukitumie, mfano ni Whitney Houston, hajawahi kuandika nyimbo hata moja ila ana hits kibao”
Hakuna maoni