Mgombea Urais 2015 kutoka chama cha TLP naye arejesha fomu katika ofisi za NEC….(Picha)
.
Ni mwaka 2015 na headlines zake za
uchaguzi mkuu Tanzania ambapo leo baadhi ya wagombea Urais wamefika
kwenye ofisi ya tume ya taifa ya uchaguzi Dar es salaam kurejesha fomu
za kuwania Urais ambapo Macmillan Lyimo wa TLP ni mmoja wao.
Hizi ni baadhi ya picha za mgombea wa Urais Macmillan Lyimo
Mgombea Urais kutoka chama cha TLP, Macmillan Lyimo alipowasili katika ofisi za NEC.
.
.
.
.
.
Hakuna maoni