Ali Kiba azungumzia Collabo na Neyo,Ikitoka itachezwa kwenye radio na tv kama kawaida.


Kiba
Ali Kiba amethibitisha ujio wa collabo na Neyo na kusema ” Ni project ya coke studio, tutarekodi wimbo na video na zote zitaweza kuchezwa kwenye radio na tv baada ya kufanyia show coke studio ” .
Ali Kiba pia amefanya wimbo na Sauti Sol na Davido.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.