Maneno ya ZITTO KABWE kwa waandishi wa Habari LEO kabla ya uzinduzi wa kampeni J2.


tooo
Kiongozi wa Chama cga ACT Wazalendo Zitto Kabwe leo amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Millenium Tower na kuzungumza mambo mbalimbali ya Chama hicho ikiwemo ufunguzi wa kampeni zao.
Ufunguzi wa kampeni hizo utakaofanyika Agosti 30 katika viwanja vya Zakheem, Mbagala ambapo watamtambulisha Mgombea wao wa Urais.
ZITTO KABWE- ‘Sasa hivi tunaendelea na mafunzo ya wagombea Ubunge kupitia chama chetu ili waweze kufanana’ #ACT2015#MillardAyoUpdates
— millard ayo (@millardayo) August 28, 2015

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.