Sauti Sol wazungumzia Collabo walizofanya na wasanii wa Tanzania.
Kundi la waimbaji kutoka Kenya wamenipa
orodha kamili ya wasanii waliofanya nao collabo nchini Tanzania, wasanii
hawa ni Ommy Dimpoz, Vanessa Mdee, Weusi na Ali Kiba. Sauti pia
wameonyesha kuwa wao ni mashabiki wakubwa wa msanii Ali Kiba na kwamba
wanajua na kuimba nyimbo zake zote haswa ‘Chekecha Cheketua”.
Sauti Sol pia wamethibitisha collabo mbili ambazo ni Sauti Sol ft Yemi Alade na Yemi Alade ft Sauti Sol.
Hakuna maoni