Sarakasi zinaendelea.Tume ya uchaguzi NEC imenukuliwa ikiwatupia mpira
jeshi la polisi kuwa ndilo linalohusika kuhakikisha kampeni hazizidi saa
12.Tume imeruka kimanga baada ya kupokea hoja kutoka kwa wadau kuwa
juzi CCM wakati wakizindua kampeni Jangwani walizidisha muda zaidi ya
nusa saa kinyume na taratibu...
Hakuna maoni