EDWARD LOWASSA Aja na Mpya Leo..Hapa nimekuweka Picha Nne Akiwa Kapanda Daladala na Kufanya Haya
Baada ya mafuriko ya CCM jana pale jagwani katika uzinduzi wa Kampeni za
Urais leo asubuhi Mh Lowassa ameamka na Kick ya kupanda daladala na
kusikiliza matatizo ya wananchi laivu laivu...hizi hapa picha nne akiwa
katika tukio hilo lililovuta hisia za watu wengi

Hakuna maoni