Hvi sasa kuna watu (wazee wa wapigwe tu) wamefika viwanja vya jangwani
na kuwataiti mafundi wanaondelea na maandalizi ya uwekaji jukwaa
kwaajili ya uzinduzi wa kampeni za UKAWA hapo kesho 29-08-2015 , hao
wana usalama wamewataka mafundi hao kuwaonyesha kwanza kibali kinacho
waruhusu wao kufanya kazi hiyo , lasivyo hakuna kujenga jukwaa hilo.
more news and pictures to come, stay tuned. Aluta Continua...
Hakuna maoni