Fid Q na washindi wa Talent Search, mikakati ya Chemical, StanBakora na Batuli wana uhusiano?..(255 Audio)

Kwenye zile stori za 255 leo kasikika Fid Q kuhusu mashindano ya Talent Search, anasema mara nyingi hakuna mshindi kwa upande wa Rap kutokana na wengi kushindwa kujitokeza ingawa vipaji vipo vingi.. amesema pia wadau wa mashindano hayo waangalie jinsi ya kuwapa kipaumbele wasanii wa kurap.
fd
Fid Q
Chemical amesema awali alikua anaimba lakini amesema wanawake wanaoimba wako wengi ndio maana akaona bora aanze kurap kwa sababu anaona anaweza..ameanza kurap muda mrefu tangu mwaka 2009. Amesema ana plans za kufika mbali kwenye sanaa yake.
chrmi
Chemical
Picha za Stan Bakora akiwa na Batuli ambazo si maadili zilizagaa kwenye mitandao ya kijamii, mwenyewe amesema hizo picha hazitajirudia tena kwa kuwa kila mtu ana mapungufu yake hakuzituma yeye..ameongeza kuwa izo picha zilikua ni sehemu ya movie yao na si kweli wako kwenye uhusiano.
bakora
Stan Bakora

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.