Master Jay asema hakuna ubaya kwa maproducer wa sasa kumrekodi msanii bila kujali kipaji chake.


Master-J
Mtayarishaji muziki mkongwe nchini, Master Jay, amesema hakuna ubaya wowote kwa maproducer wa sasa kumrekodi msanii bila kujali hata kipaji chake kwasababu wakati huu muziki umekuwa wa kibiashara zaidi.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.