Kinachoendelea Uwanja wa Taifa, Simba vs URA vikosi vipo hapa
August 15 klabu ya Simba Sports inarudi
uwanjani kucheza mechi yake ya pili ya kirafiki ya kimataifa ambayo
safari hii inacheza na klabu inayomilikiwa na mamlaka ya mapato ya
Uganda (URA), katika mchezo huu Simba inasemekana itachezesha vikosi
viwili hili kuangalia wachezaji wake wote.
Nimekusogezea picha ya timu zikipasha misuli moto kabla ya mechi kuanza.
URA ya Uganda ikipasha misuli moto
Hali ilivyo kwa upande wa mashabiki
Hakuna maoni