Ni time ya Dk. John Pombe Magufuli na mgombea mwenza kurudisha Fomu za Urais katika Ofisi za NEC Dar es Salaam… (Pichaz)
.
Baada ya Edward Lowassa kurudisha Fomu zake za Kugombea Urais wa Tanzania kwenye Uchaguzi Mkuu wa October 2015, ilifuatia zamu ya Mgombe wa CCM, Dk. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza, Mama Samia Suluhu Hassan nao kurudisha Fomu zao.
Hapa ninazo pichaz pia wakati Wagombea hao nao walivyosindikizwa na
baadhi ya watu wakati wa kurudisha Fomu hizo Ofisi za NEC, Posta Dar es
Salaam Tanzania.
Dk. John Magufuli na Mwenyekiti wa Tume ya NEC, Jaji Damiam Lubuva.
.
Mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu,Damian Lubuva (Kulia) akipitia Fomu ya Dk. Magufuli.
Dk. John Magufuli akiwa ameongozana na Samia Suluhu Hassan pamoja na baadhi ya WanaCCM ikiwemo pia Waziri wa zamani, Mama Zakhia Meghji.
Hakuna maoni