Majambazi wamevamia daladala Ubungo Kariakoo maeneo ya Jangwani, mtu
mmoja (abiria) aliyekuwa amebeba mfuko amepigwa risasi, watu kadhaa
wamejeruhiwa. Majambazi haya yalikuwa na Pikipiki aina ya Boxer , kabla
ya kupiga risasi walitaka abiria atoe hilo fuko la fedha yeye akagoma
akiaangalia kama atapata msaada kutoka kwa abilia ndipo walimwambia
dereva kusimama na kutwanga risasi huyo abiria akaachia fuko
linalosemekana kuna fedha, haijajulikana ni fedha au ni
dhahabu/Tanzanite maana abiria alikuwa awezi tena kuongea
Hakuna maoni