Sheddy Clever asema asante Diamond Platnumz kwa kunikutanisha na Neyo


neyo
Producer wa Diamond Platnumz aliyetengeneza My Number One amemshukuru Diamond Platnumz na Wcb kwa kumkutanisha na msanii wa kimataifa Neyo na kufanya naye kazi.
sheddy

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.