Nuh Mziwanda asema akifanya kitu kidogo kinakuzwa.
Msanii Nuh Mziwanda ambaye usiku wa 14
August 2015 alitamblisha wimbo wake mpya na video ya Hadithi amesema
mambo madogo anayofanya kwenye maisha yake hukuswa na kuwa kiki, ila sio
mpango wake.
Nuh anasema ” Naweza kukosema kingereza kidogo ila issue ikachukuliwa na kukuzwa na kuwa kubwa, ila situmi skendo kutangaza muziki” .
Hakuna maoni