Fetty Wap asema Mama yake ni Trap Queen kwa mtazamo tofauti, atoa maana ya Trap Queen.


fetty wap
Baada ya wimbo wa Trap Queen kutoka palikuwa na maana tofauti za maneno hayo. Maana moja ilikuwa “mwanamke anayejua kutayarisha dawa za kulevya za kuuza na amefanya kazi hio na kutajirisha familia yake na mpenzi wake “.
Fetty Wap ameliambia jarida la New York kuwa maana nyingine ya Trap Queen  ni ” mwanamke aliyekuwa na uaminifu juu yako na kukuamini kwa kila jambo unalolifanya ambaye ni mama yake mzazi “.

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.