Tyga anataka na hii mpya kutoka kwake ikufikie: “Bu$$in Out Da Bag”. (Video)

tyga2
Msanii wa Hip Hop Marekani kutoka kwenye kundi la Cash Money Records Tyga amerudi kuziandika headlines zake kwenye ubao wa burudani.
tyga3
Time hii anakuja na ngoma mpya iliyopewa jina Bussin Out Da Bag na kama wewe ni mpenzi wa muziki mzuri wa Hiphop basi utapenda kuitazma video hii kutoka kwake.

                     

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.