Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/
Unlabelled
/ Angalia Video Jinsi Nyumba iliyoteketea kwa Moto na Kuua Watu 9 Buguruni Malapa
Angalia Video Jinsi Nyumba iliyoteketea kwa Moto na Kuua Watu 9 Buguruni Malapa
Watu tisa wa familia moja wameteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo huko Buguruni Malapa jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la kusikitisha limetokea Mtaa wa Ulam ambapo, bibi, watoto
watatu wa kike na wajukuu watano waliokuwa wanaishi nyumba namba 40
wameteketea.
Hakuna maoni