Mashabiki wabadilisha umri wa Don Jazzy kwenye wikipedia yake.
Utani wa mashabiki wa Don Jazzy imechukua hatua mbaya baada ya mashabiki hawa kubadilisha umri wa msanii huyu kwenye profile yake ya Wikipideia.
Umri wa Don Jazzy kwenye kurasa hio umeandikwa miaka ’46’ wakati Don Jazzy anamiaka ’32’ . Don Jazzy aliandika Instagram “Hhahahahahahaha I don Laugh die for here. See my age ooo. Haba naaa. who did this to me?”
Hakuna maoni