Drake amekuwa rapa wa kwanza mwaka 2015 kuuza kopi milioni moja na album yake.
Album ya Drake ya ‘If You’re Reading This
It’s Too Late’ imefikisha kopi milioni moja wiki hii kwa mujibu wa
mtandao wa Billboard. Kopi zilizoenda mpaka sasa ni milioni 1.007.
Album ya muziki wa pop ya Taylor Swift ya ‘1989’ pia mpaka sasa imeuza kopi milioni 5.12.Fahamu ‘If You’re Reading This It’s Too Late’ imekuwa album ya nne ya Drake kwenda platnum. Nothing Was the Same iliuza kopi (1.72 million), iliuza kopi Take Care (2.26 million) na Thank Me Later iliuza kopi (1.8 million).
Hakuna maoni