Rose Ndauka ajibu mapigo Kwa Aliyekuwa mzazi mwenzake KING CHIWA na Mpenzi wake wa sasa...
Baada ya aliyekuwa mpenzi wake wazamani (baba mtoto) wa ROSE NDAUKA, KING CHIWA kurudi tena kwenye game na kuachia ngoma mpya LOVER LOVER inayofanya vizuri kwenye Radio & T.V stations hapa nchini, Kufanya Cover la Mahabaniuwe akiwa anakula denda(romance) na alikuwa video queen.
Rose Ndauka ajibu mapigo kwa kupost picha akiwa anakula maraha(BATA) na
mpenzi wake wa sasa Producer mkubwa nchini MANEKE kwenye Ukurasa wake
wa Instagram.
Hakuna maoni