KING CHIWA NDANI YA BONGO FLEVA NA ADAM MCHOMVU PAMOJA NA EMMA THE BOY...CLOUDS RADIO JANA

Msanii wa kizazi kipya miondoko ya ragga, Jana alitembelea  studio za CLOUDS FM kwa Interview na kuachia audio yake mpya ya ngama inayokwenda kwa jina la LOVER LOVER.
Ni moja ya ngoma zilizopata comment nyingi sana ambazo zilimfanya KING CHIWA Kuto shukrani sana kwa mashabiki wake pande zote...

Adam Mchomvu alimalizia kumchana KING CHIWA, kuwa ngoma yake wanaipenda sana wadaa wazuri.


Emma The Boy Akimpiga swali KING CHIWA

Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.