Miandiko ya Mastaa wako Vanessa Mdee, Fid Q, Chameleone, 2 Face, Ben Pol na Maurice Kirya wanavyoandika majina yao
Vanessa Mdee
Mwandiko wa Vanessa Mdee
Maurice Kirya wa Uganda
Mwandiko wa Maurice Kirya
Fid Q
Huyu Fid Q huyu, nilishindwa kumgundua harakaharaka ndio Ben Pol akanitangulia kutambua jina.
Ben Pol
Jose Chameleone
Mwandiko wa Jose Chameleone wa Uganda.
2 Face Idibia wa Nigeria
Producer Nahreel wa Tanzania
Ni
time ya kurudi shule kidogo… kwenye miandiko huwa ipo ya aina nyingi na
kama mimi nilivyokua natamani kuona miandiko ya mastaa mbalimbali
ninaowafatilia naamini hata wewe inawezekana ulikua na kiu kama yangu,
hii ni sehemu tu ya miandiko yao wakiandika majina yao.
Hakuna maoni