Mchungaji Mtikila hajachelewesha, kachukua fomu ya Urais leo na kuyasema haya kwenye hii video Screen Shot 2015-08-01 at 3.16.07 PM


Screen Shot 2015-08-01 at 3.16.07 PMMaalum kwa ajili ya Mchungaji Christopher Mtikila ambaye na yeye anagombea Urais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu 2015 kupitia chama cha DP ambapo leo alikwenda kuchukua fomu yake ya Urais kwenye ofisi za tume ya taifa ya uchaguzi na baada ya kuichukua akaamua kuyazungumza haya hapa chini kwenye hii video.


Hakuna maoni

Inaendeshwa na Blogger.