Ridhiwani Kikwete kaiweka hii video ya Lowassa na kuandika haya maneno.
Kwenye page yake ya Instagram aliweka video hiihii akaandika ‘Ni thawabu pia kutoa sifa na ni dhambi kutokubali mema yanapofanyika, hongera sana mgombea kwa kuyaona mazuri yatendekayo na mtendaji wa hayo, #Magufuli2015 #MzikiwaMagufuliUtauweza?
Raha ya Mja kunena, Kwa Muungwana ni vitendo.ushahidi tosha kuwa Mgombea wa CCM anakubalika na Ni Mbora kwa Kazi pic.twitter.com/Zrr6lrZD45
— Ridhiwani Kikwete (@ridhiwankikwete) August 13, 2015
Kwenye hii video Lowassa anasema >>> ‘Namsifu sana Dr. Magufuli kwa kazi nzuri aliyofanya, kazi nzuri sana ya barabara, nzuri sana‘
Hakuna maoni