Inasemekana ni Wema Sepetu na Nuh Mziwanda kwenye hizi dakika 9.
Kama
unatumia mitandao mbalimbali ya kijamii utakua umekutana na sauti
ambayo inasemekana ni sauti ya Nuh Mziwanda na Wema Sepetu wakizungumza
kitu kinachoashiria upendo wa Nuh kwenda kwa Wema.
Nuh Mziwanda ni mpenzi pia wa Shilole,Sauti hiyo pia imeifikia millardayo.com unaweza bonyeza play hapo chini kusikiliza
Hakuna maoni