Baada ya Video…… leo Rasmi Jux Kaiachia ‘Looking for You’ upande wa audio,isikilize hapa.
Video ya wimbo huu ilitambulisha August 11 kisha August 12 ikawekwa youtube na leo Aug 14 imetazamwa zaidi ya mara elfu 44,leo nimefikiwa na audio yake mtu wangu ambayo ndani yake kashirikishwa mkali kutoka A Town Joh Makini.
Bonyeza play kusikiliza.
Hakuna maoni