Breaking News | International News | Political | Business | Sports | Games | Entertainments | Global Music | East Afrika | Bongo Flavour | Bongo Movie | Udaku wa Social Media
Home/
Unlabelled
/Ali Kiba anasema hapa wimbo na Fally Ipupa upo na ni mzuri sana.tazama mahojiano yake.
Ali Kiba anasema hapa wimbo na Fally Ipupa upo na ni mzuri sana.tazama mahojiano yake.
Star wa bongo fleva Ali Kiba amethibitisha kuwa collabo na mkongo
Fally Ipupa imesharekodiwa na iko tayari ila itatoka kama Surprise kwa
mashabiki wake.
Kwenye mahojiano haya Kiba pia amethibitisha kuwa collabi na Davido imefikia pazuri na muda wowote utaisikia kwenye radio yako.
Hakuna maoni