Video ya walichokiongea John Magufuli na Rais Kikwete baada ya kuchukua fomu Aug 4 2015.
Aug 4 2015 Mgombea Urais kupitia CCM John Magufuli alichukua fomu ya Urais kwenye tume ya taifa ya uchaguzi ambapo alisindikizwa na mgombea mwenza na viongozi wengine akiwemo Rais Kikwete, tazama video yao hapa chini.
Hakuna maoni