Baada ya sauti ya Mziwanda akimtongoza Wema Sepetu, Shilole kayaandika haya
Nakukutanisha na msanii wa bongofleva Shilole ambaye aliingia kwenye headlines baada ya boyfriend wake msanii Nuh Mziwanda kunaswa kwa sauti akimtongoza mwigizaji Wema Sepetu.
Ilionekana kama baada ya
kusambaa hadharani kwa sauti hiyo kungefanya mapenzi yao yayumbe au
waachane lakini imekua tofauti na matarajio kwani Shilole alithibitisha kuendelea kwao pamoja kwa kupost hiyo picha hapo juu na kuandika ‘Mi siachani nawe na ntakupenda zaidi’
Hakuna maoni