966 ya Nay wa Mitego haijaishia kwenye magari na nyimbo tu,imefika huku sasa hivi…
Ingawa bado hajataka kuweka wazi kuhusu namba hizi licha ya kujua kuwa kachanganya tarehe,mwezi na mwaka aliozaliwa inawezekana ana sababu nyingine,Nay kaongea na millardayo.com na kusema>>’Kwa sasa hata baadhi ya vitu vyangu nasajili kwa namba hiyo hata Tin namba yangu niliomba nikapewa hiyo so ni namba ambazo zimeshakua rasmi kwangu’
Swali lingine millardayo.com ilitaka kufahamu inakuaje pale anapoagiza Gari halafu haijafika hiyo namba>>’Huwa nasubiri kwa sababu huwa natoa oda na nahitaji hizo namba so naambiwa mpaka zifike ni muda fulani huwa nasubiri kwa mfano hii Hiace ya watoto wangu kuendea shule imekaa muda bila kuwa na namba mpaka imekuja kupata namba juzi’
Hakuna maoni