Fashion Police wametaja mastaa wa soka wanaopendeza na wasiopendeza Messi, Ronaldo na Neymer wamo pia
Karim Benzema mchezaji wa klabu ya Real Madrid
Mario Balotelli kutoka Liverpool
Alexandre Song mchezaji wa FC Barcelona
Lionel Messi mchezaji wa klabu ya FC Barcelona
Dani Alves wa FC Barcelona
Neymer da Silva kutokea FC Barcelona
Cristiano Ronaldo wa Real Madrid
Gerard Pique kutokea katika klabu ya FC Barcelona
Xabi Alonso mchezaji wa FC Bayern Munchen
Andrea Pirlo mchezaji wa New York City
Katika pita pita zangu mtandaoni
nimekutana nayo hii ya mastaa wa soka wanaovaa vizuri na wasio vaa
vizuri, yaani kwa maana nyingine ni kuwa wanaopendeza na wasiopendeza,
kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa ESPNFC umetaja list
ya mastaa ambao wanatupia ila wamo ambao wasiopendeza licha ya kuwa na
uwezo mkubwa uwanjani sio kila kitu utakiweza.
Uwezo wao haukuishia uwanjani pekee hadi katika masuala ya mavazi wameonekana kupendeza zaidi
Umahiri ni uwanjani ila katika masuala
ya mavazi wapo nyuma na wanatajwa kutopendeza kwa mavazi hayo kwa mujibu
wa fashion police wa ESPNFC
Mwisho kabisa Fashion Police wameshindwa kuwatambua Karim Benzema na Mario Balotelli wawe kundi lipi la waliopendeza au wasiopendeza
Hakuna maoni