Ubunifu mwingine mkali kwenye video mpya ya Mac Miller ‘100 Grandkids’
Mengi
yamebadilika ndani ya miaka miwili ya ukimya wa Mac Miller toka ametoa
album yake ya mwisho “Watching Movies with the Sound Off”.
Miller aliacha lebel ya Rostrum Records nakupata dili la dola milioni 10 na lebel ya Warner Bros.hii ndio kazi mpya
Hakuna maoni