Rais JK alivyopiga selfie mojamoja na Wasanii kwenye party !
Ben Pol, G Nako na Rais JK kwenye pozi la Selfie, pembeni yuko Daian Soul.
Rais JK na mwigizaji Kitale.
Rais JK na mwigizaji Dokii.
Rais JK anasalimiana na Mzee Yusuph.
Rais JK akisalimiana na Diamond Platnumz.
Malaika kwenye pozi la selfie na Mr. President.
Wengine wakapata na Selfie kabisa.
Rais JK akaanza kupita meza moja moja kusalimiana na watu wote waliopo ndani ya Ukumbi.
.
.
Rais Kikwete akiwa ameongozana na Waziri John Magufuli, Abdulrahman Kinana, Naibu Waziri January Makamba na DC Paul Makonda.
August 6 2015 Mlimani City Dar es
Salaam, Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete amekutana na wasanii ambapo
kilichofanyika hapo ni hafla ya kumuaga Rais JK ambapo imebaki kama
miezi miwili hivi amalize awamu yake ya uongozi, hapa kuna picha Rais
alivyopita meza mojamoja na kuwapa mikono pamoja na kupiga picha na
wasanii mbalimbali.
Hakuna maoni