Wolper kaweka hii picha ya Diamond na Kiba waliyopigwa jana na kuyaandika
Jackline
Wolper ni mwigizaji kutoka bongo movie ambaye August 6 2015 alipost
picha ya Ali Kiba na Diamond wakionekana pamoja kwenye foleni ya chakula
kwenye party iliyofanyika ya kumuaga Rais Kikwete Mlimani City Dar es
salaam.
Baada ya kuiweka hiyo picha hapo juu aliandika >>> ‘ Sasa
nyie endeleeni kugombanisha watu wanaojuana namsiojua walipotoka haya
sasa mwanzo ndo ule kati mlizusha mwisho mnapajua???? waacheni jamani….
Mungu atapanga mwenyewe watag namuonge chochote chenye kujenga syo
kubomoa # one love ‘
PAPO KWA PAPO
Hakuna maoni